A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service

Kikundi cha kudhibiti

Kikundi cha watu wasiopata chanjo au dawa inayojaribiwa. Badala yake, wanaweza kupata uingiliaji wa kawaida (madawa, chanjo, au matibabu), kipozauongo (placebo) au chochote. Lengo la jaribio ni kulinganisha kile kinachotokea katika kila kikundi. Matokeo lazima yatofautiane vya kutosha kati ya makundi mawili ili kuthibitisha kwamba tofauti hiyo haijatokea tu kwa bahati.
Kipozauongo ni matibabu ya ‘bandia’, kama vile kidonge cha sukari, ambayo inaonekana sawa.

Glossary health topic:
COVID19 Glossary
Glossary terminology :
Control group
Problem with this page?