A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service

Plasma ya kupona

Plasma ni sehemu ya kioevu cha damu. Hukusanywa kutoka kwa mtu baada ya kupata maambukizi. Kioevu kina kingawmwili dhidi ya kijidudu. Wakati mwingine plasma hii inaweza kutolewa kwa watu wengine ili kuwazuia kuugua au kuwasaidia kupata nafuu.r.

Glossary health topic:
COVID19 Glossary
Glossary terminology :
Convalescent plasma
Problem with this page?