A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service
Mfumo wa kinga
Mfumo wa mwili wa kutambua na kuua vijidudu ili kutukinga dhidi ya maambukizi na magonjwa. Inahusisha kutengeneza kingamwili zinasogeza katika damu, kutambua vitu vya kigeni kama bakteria na virusi, na kuambatanisha nao. Inaashiria mwili kuondoa na vitu vya kigeni.
- Glossary health topic:
- COVID19 Glossary
- Glossary terminology :
- Immune system
Problem with this page?