A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service
Lipid
Lipid ni mafuta ambayo hutumiwa kutengeneza kiputo cha kinga kuzunguka mRNA katika chanjo za mRNA. mRNA ni aina ya molekuli ndogo. mRNA ni dhaifu sana na huvunjika haraka mwilini ikiwa haijalindwa. Mara baada ya mRNA kusafirishwa ndani ya seli, inavunjika ndani ya seli.
- Glossary health topic:
- COVID19 Glossary
- Glossary terminology :
- Lipid
Problem with this page?