A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service
Chanjo ya mRNA
Chanjo za MRNA zinafundisha seli zetu jinsi ya kutengeneza protini isiyo na madhara—au hata kipande cha protini tu. Protini hii huamsha mwitikio wa kinga ndani ya miili yetu. Mwitikio wa kinga, ambao hutengeneza kingamwili, ndio unatukinga dhidi ya kupata ugonjwa mbaya sana ikiwa virusi halisi vinaingia kwenye miili yetu.
- Glossary health topic:
- COVID19 Glossary
- Glossary terminology :
- mRNA vaccine