A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service
Chanjo ya polysaccharide
Chanjo iliyo na nyuzi ndefu ya molekuli za sukari, ambayo inaonekana kama uso wa aina kadhaa ya bakteria. Chanjo za polysaccharide zinapatikana kwa ugonjwa wa pneumococcal (kama nimonia).
- Glossary health topic:
- COVID19 Glossary
- Glossary terminology :
- Polysaccharide vaccine
Problem with this page?