A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service

Jaribio la Kabla yaKliniki

Utafiti uliofanywa kabla ya jaribio la kliniki. Utafiti unapima kama chanjo ni salama kutumia kwa wanadamu. Kama sehemu ya majaribio ya COVID-19, mifano ya wanyama ilijumuisha majaribio ya wanyama ikiwa ni pamoja na panya na nyani.

Glossary health topic:
COVID19 Glossary
Glossary terminology :
Pre-Clinical Trial
Problem with this page?