A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service
Chanjo ya vipande vya protini
Inajumuisha vipande visivyo na madhara (protini) vya vijidudu badala ya kijidudu kizima. Mara baada ya chanjo, miili yetu inatambua kuwa protini haipaswi kuwepo na huunda vitu vya damu vinavyoitwa
T-lymphocytes na kingawmili ambazo zitakumbuka jinsi ya kupambana na kijidudu ikiwa tutahatarishwa katika siku zijazo.
- Glossary health topic:
- COVID19 Glossary
- Glossary terminology :
- Protein subunit vaccine
Problem with this page?