A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service

Kueneza

Kuanzishwa kwa dawa mpya au chanjo. Kwa mpango wa chanjo ya COVID-19 hii inajumuisha awamu nyingi: 1a, 1b, 2a, 2b, 3. Vikundi vya kipaumbele vinatambuliwa kwa kuzingatia ushahidi wa sasa ya afya ya umma na ya matibabu juu ya nani angeathirika zaidi kama watapata ugonjwa wa COVID-19.

Glossary health topic:
COVID19 Glossary
Glossary terminology :
Roll out
Problem with this page?