A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service
RNA ya mjumbe (mRNA)
Aina ya molekuli ndogo ambazo seli zako hutumia kama maelekezo ya kutengeneza protini. mRNA inaelezea seli zako jinsi ya kuweka pamoja protini maalum kwa kutumia vitalu vya jengo (inayoitwa asidi za amino). Una mamilioni mengi ya molekuli za mRNA katika mwili wako kwa wakati mmoja- zote zikitumika kutengeneza protini.
- Glossary health topic:
- COVID19 Glossary
- Glossary terminology :
- Messenger RNA (mRNA)