A NSW Government website
Multicultural Health Communication Service

Kinga

Kuwa na uwezo wa kuepuka kuugua au kuepuka kuambukizwa unapopatikana na viini. Mwili wako hujenga kinga hii kuwa wazi kwa kwa viini au kwa kupata chanjo. Mfumo wako wa kinga una “kumbukumbu”- unaweza kukumbuka vijidudu ambavyo umeona hapo awali na kujua jinsi ya kuvyoshambulia.

Glossary health topic:
COVID19 Glossary
Glossary terminology :
Immunity
Problem with this page?